Mnara wa kihistoria umejengwa eneo la Songea Klub mahali ambapo walinyongwa kikatili mashujaa wa vita ya majimaji 67 kisha kwenda kuzikwa ndani ya makumbusho ya Taifa ya majimaji Songea eneo la Mahenge ambapo mashujaa 66 walizikwa katika kaburi moja na Jemedari wa wangoni Songea Mbano alizikwa katika kaburi la pekee yake
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.