Muonekano wa mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje OPD katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea ambalo linajengwa katika Kata ya Mwengemshindo Manispaa ya Songea pamoja na jengo la Mionzi ambalo limekamilika na limeanza kutumika,serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu imenunua vifaa tiba ambavyo vimepunguza gharama za wananchi kusafiri umbali mrefu hadi hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam au hospitali ya Kanda ya Mbeya
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.