Jiwe la Pomonda lililopo kijiji cha Liuli wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ni miongoni mwa vivutio vya utalii vyenye aina nyingi za vivutio vilivyopo katika eneo moja hali ambayo inawavutia watalii wengi waliobahatika kutembelea kivutio hicho kilichopo mita 100 kutoka bandari ya Liuli ndani ya ziwa Nyasa
Katika uzinduzi wa mkakati wa utalii mkoani Ruvuma unaotarajia kufanyika Septemba 22 mwaka huu mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.