Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mjini Songea wakiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya kumbukizi ya mashujaa wa vita ya Majimaji ndani ya Makumbushoi ya Taifa ya Majimaji mjini Songea,wiki hiyo inaanza Februari 23 hadi Februari 27,2024 ambayo ndiyo kilele cha maadhimisho hayo ambayo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.