Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Chama cha Walimu Taifa Sabina Lipukila kulia,akiwaongoza wafanyakazi wa idara mbalimbali za serikali kuimba wimbo wa mshikamano wakati wa sherehe za wafanyakazi(Mei Mosi) ambayo katika mkoa wa Ruvuma imefanyika katika uwanja wa michezo wa Chama cha Mapinduzi wilayani Tunduru.Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.