Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani katika Mkoa wa Ruvuma yanafanyika kimkoa wilayani Mbinga siku ya Machi 8,2024.
Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kwa mwaka mwaka huu ni '' Wekeza kwa Wanawake Kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii ''
Kaulimbiu hii inalenga kuhamasisha jamii kuwekeza kwa Wanawake íli kuleta Usawa wa Kijinsia pamoja na kukumbushana umuhimu wa usawa wa Kijinsia katika kuchochea ukuaji wa Uchumi,Maendeleo jumuishi na Ustawi wa Jamii Kwa Maendeleo endelevu kwa Wanawake.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.