Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Joseph Kashushura ( wa nne kutoka kulia) katika picha ya pamoja na maafisa kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi( wenye flana nyeupe) pamoja na maafisa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Maafisa hao walitembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga tarehe 8 Januari 2024 kuhamasisha wanananchi kujitokeza katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajia kuanza tarehe 12 hadi 18 januari 2024 katika Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.