MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa maagizo mazito 17 kwa wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Ruvuma RCC kilichofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea na kushirikisha wadau kutoka wilaya na Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma.Ili kujua maagizo hayo tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=4Ou2x7jnBSk
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.