Waziri wa TAMISEMI Seleman Jafo ameridhishwa na mradi wa kimkakati wa machinjio ya kisasa wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni tano,Machinjio hiyo yenye viwango vya kimataifa imejengwa Katika kata ya Tanga Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=UiCrFDsY6do&pbjreload=101
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.