MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri ya Madaba wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Sajidu Idrisa Mohamed anawakaribisha wananchi wote kuhudhuria siku ya Maadhimisho ya Wazee Tarehe 1,Mwezi wa Kumi huduma mbalimbali za kiafya zitatolewa ikiwemo kupima ugonjwa wa malaria,kisukari,Virusi vya Ukimwi,shinikizo la damu,,Hali ya Lishe,Huduma za msaada wa Kisaikolojia .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.