SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia imetoa shilingi Milioni 360 kwaajili ya ukarabati wa Madarasa 24 katika Shule 4 za Msingi kila shule madarasa 6 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
Wananchi wa Kata ya Matumbi Kijiji cha Ifinga wamempongeza Rais Samia kwa kuhakikisha anatoa fedha za miradi mbalimbali zikiwemo ukarabati wa madarasa katika shule ya msingi Ifinga iliyojengwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.