Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas,akizungumza na wananchi,watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa Songea(Homso) na Madaktari Bingwa kutoka mikoa ya Songwe,Mbeya na Ruvuma kabla ya kuanza kwa utoaji wa huduma za Kibingwa
.Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas,akisalimiana na Madaktari Bingwa wa mikoa ya Ruvuma,Songwe na Mbeya baada ya kufungua zoezi la uchunguzi na matibabu ya Kibingwa kwa wananchi wa mkoa Ruvuma yanayoendelea katika Hospitali ya Mkoa mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.