MKUU wa Mkoa wa Ruvuma amewaasa madiwani wa Baraza la Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kuacha ubinafsi na kugawanyika hali ambayo imesababisha kukosa umoja hivyo kushindwa kuwaletea maendelea wananchi wa manispaa hiyo.Mndeme ametoa rai hiyo wakati anazungumza kwenye kikao maalum cha Baraza hilo kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa hiyo mjini Songea.Amesema kitendo cha madiwani kutokuwa na umoja husababisha matatizo mengi kwa wananchi ikiwemo kushindwa kusimamia miradi ya maendeleo na ukusanyaji mapato.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=LHXg2R49WZo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.