MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wameapishwa na kuagiza kusimamia ukusanyaji wa mapato sanjari ya kubuni vyanzo vipya vya mapato.Maagizo hayo yametolewa na Kaimu Katibu Tawala wilaya ya Nyasa Paulo Lugongo wakati anazungumza kwenye kikao cha kuapishwa madiwani hayo wapya kilichofanyika kwenye ukumbi wa Kapteni Komba mjini Mbambabay.
Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=wJ6gRCNS5Rw
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.