Uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajia kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024. ambapo Mkoa wa Ruvuma una jumla ya Kata 173, Vijiji 551 Mitaa 123, Vitongoji 3,691 na mamlaka za miji midogo miwili ambayo ni .mamlaka ya Mji mdogo wa Namtumbo na Lusewa,ambavyo vitashiriki katika uchaguzi wa kuwapata viongozi katika ngazi ya mitaa,vijiji na vitongoji.
Uandikishaji wa wapiga kura utafanyika kwa muda wa siku kumi kuanzia tarehe 11 Oktoba, 2024 hadi tarehe 20 Oktoba 2024.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.