Maafisa uandikishaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wamepatiwa mafunzo juu ya zoezi la uandikishaji wa orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika tarehe 27 Novemba 2024.
Pamoja na mafunzo hayo maafisa hao wamepata kiapo cha uaminifu, utii na uadilifu katika kutimiza majukumu yao.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.