• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MIAKA miwili ya Rais Samia bilioni 23 zilivyojenga vihenge vya kisasa Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: March 18th, 2023

Mradi  wa kuhifadhi Chakula katika kanda ya Songea unajenga vihenge vya kisasa (silos) 12 vyenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 45,000  na maghala mawili  yenye jumla ya tani 10,000  kwa fedha za serikali shilingi bilioni 23.37.

Kukamilika kwa mradi huu kutaifanya Kanda ya Songea kuwa na uwezo wa kuhifadhi jumla ya tani 84,000 ndani ya maghala na vihenge kwa wakati mmoja.

 Pamoja na vihenge hivi vya kisasa, mradi pia unajenga miundombinu wezeshi kama stoo ya vifaa, stoo ya viuatitifu, ujenzi wa ofisi, ujenzi wa maabara, ujenzi wa vyoo, kantini, uzio na barabara za ndani.

Hata hivyo mradi wa kuhifadhi chakula Kanda ya Songea hivi sasa una Maghala sita  yenye uwezo wa kuhifadhi tani 29,000 za nafaka.

Mradi katika kanda ya Songea unajengwa na mkandarasi kutoka nchini Poland kwa kushirikiana na kampuni ya kitanzania ya Civil Loth.

Hadi sasa utekelezaji wa mradi umefika zaidi ya asilimia 71.75 ambapo ujenzi na usimikaji wa vihenge umefikia wastani wa asilimia 86, ujenzi wa maghala na miundombinu mingine umefikia asilimia 38.

Imeandikwa na Albano Midelo,Afisa Habari wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Matangazo

  • RATIBA ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 March 31, 2023
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • BILIONI 20 za Rais Samia zilivyojenga shule mpya 11 na madarasa 656 Ruvuma

    March 26, 2023
  • RAIS SAMIA atoa zaidi ya shilingi bilioni 233 kutekeleza miradi Tunduru

    March 25, 2023
  • KAMATI ya Afya na Lishe Manispaa ya Songea ilivyodhamiria kuondoa utapiamlo na udumavu

    March 25, 2023
  • MFUKO wa Misitu Tanzania watos ruzuku ya miti kwa shule za Mbinga

    March 25, 2023
  • Tazama zote

Video

RAIS SAMIA alivyomaliza kero ya maji Songea
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.