Wananchi mkoani Ruvuma wameomba Shirika la Ndege ATCL kuangalia uwezekano wa kuongeza ratiba za safari za Ndege kutoka Dsm kwenda Songea ambapo hivi Sasa ndege imekuwa inajaa na abiria kukosa safari.
ATCL hivi sasa imeweka ratba ya ndege mara tatu kwa wiki siku ya JUMATATU,Jumatano na Ijumaa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.