MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Odo Mwisho ameshauri ziwa Nyasa kama ilivyo kwa ziwa Viktoria litumike kutekeleza miradi ya maji katika mikoa ya kusini ikiwemo Ruvuma,Mtwara na Lindi ili kupunguza changamoto ya majisafi na salama kwa wananchi.Mwisho ametoa ushauri huo wakati anazungumza kwenye hafla ya kusaini mikataba mitano ya maji mkoani Ruvuma iliyogharimu zaidi ya shilingi bilioni 3.8
Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=OeoFGbVRYR8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.