MKUU wa Mkoa wa Ruvuma anasikitika na vifo vya wanafunzi watano waliokuwa wanasoma katika shule ya Ndelenyuma Halmashauri uya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma,vilivyotokea Februari 12,2020 kwa ajali ya gari.Mkuu wa Mkoa pia atashiriki katika mazishi ya watoto hao yatakayofanyika leo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.