Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akizungumza kwenye majumuisho ya maonesho ya nanenane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini viwanja vya John Mwakangale ambapo ameahidi kutekeleza maagizo yote yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ikiwemo kuboresha mabanda ya maonesho ya Halmashauri zote nane ili yaendane na hadhi ya kikanada,kitaifa na kimataifa.
Picha ya chini aliyesimama ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile akitoa maelekezo ili kuboresha maonesho ya nanenane yajayo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.