Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 umekamilisha mbio zake mkoani Ruvuma na kuanza mbio zäke mkoani Njombe.
Mwenge wa Uhuru ulianza mbio zake mkoani Ruvuma Aprili 17,2023 na kukamilisha Aprili 25,,2023.
Ukiwa mkoani Ruvuma ulitembelea miradi 61 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 26.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.