Kushoto ni Katibu Tawala Mstaafu wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge akimkabidhi ofisi na vitendea kazi Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea.
Hafla hiyo ilishuhudiwa na wajumbe wa Menejimenti ya Mkoa wa Ruvuma ambapo Katibu Tawala mpya ameomba ushirikiano na Menejimenti ili kuhakikisha kazi inafanyika kwa bidii na ufanisi mkubwa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.