Kikosi cha wanasayansi wa Kenya na Uingereza wamepata matokeo ya utafiti ambao unaweza kuwa namna nzuri sana katika kukabiliana na magonjwa.Malaria inaambukiza pale mbu mwenye maambukizi anapokung'ata, hivyo kuwalinda mbu kunaweza kusaidia kuwalinda watu pia.SOMA HABARI ZAIDI HAPA https://www.bbc.com/swahili/habari-52589489
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.