Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge anatarajiwa kuzindua maonesho ya bidhaa za kitanzania katika Bustani ya Manispaa ya Songea Septemba 28 mwaka huu.Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) Mkoa wa Ruvuma Rosemary Ngonyani amesema maonesho hayo ambayo yatashirikisha wanawake Kanda ya Kusini yataanza Septemba 27 na yanatarajiwa kufungwa na Mbunge wa Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi ,Ajira na Wenye ulemavu Mheshimiwa Jenista Mhagama.
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=_2X3BQfCUVY&t=4s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.