MAONESHO ya nanenane Mkoa wa Ruvuma yanaendelea katika viwanja vya nanenane Msamala mjini Songea ambapo wananchi wanajionea bidhaa mbalimbali za kilimo na mifugo.Kampuni ya SEEDCO TANZANIA ni miongoni mwa wadau waliopamba maonesho hayo kwa kuonesha bidhaa za kilimo na mbogamboga.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=zKfa71U1ikY&t=104s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.