MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa rai kwa Kamati za maafa ngazi ya Mkoa wa Ruvuma na Kamati za Maafa katika Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma kuhakikisha kuwa mapambano dhidi ya virusi vya corona inakuwa ni agenda ya kudumu katika makundi yote kuhakikisha kuwa elimu endelevu inaendelea kutolewa ili kukabiliana na virusi hivyo hatari ambavyo vinasambaa kwa kasi duniani.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.