• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MASHIRIKA yasiyokuwa ya kiserikali yana mchango mkubwa katika maendeleo Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: August 29th, 2024

Na Gustaph Swai-RS Ruvuma

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma  Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameyataja mashirika yasiyo ya kiserikali kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ngazi ya Taifa na kimataifa

 Hayo yamesemwa katika hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye aliwakilishwa na  Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile  katika Jukwaa la mwaka la mashirika yasiyo ya kiserikali lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

Ametaja mashirika hayo kuwa ni muhimu katika sekta ya maendeleo sio tu hapa nchini bali pia duniani kote ambapo ameyaasa mashirika yasiyo ya kiserikali kufanya kazi kwa kufuata kanuni, taratibu na miongozo ya serikali ili kufanya kazi bila ya kuvunja sheria

“Mnapotekeleza majukumu yenu zingatieni uwazi, Uwajibikaji, kuripoti kwa wasajili wasaidizi ngazi ya Mkoa na Halmashauri, na kupeleka taarifa ya mpango wa bajeti ya shirika Katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa’’,alisisitiza

Naye Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo ameyaomba mashirika yote yasiyo ya kiserikali kuhakikisha yanatambulika na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ili kuhakikisha ustawi na usalama wajamii na watanzania kwa ujumla.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Mkoa wa Ruvuma Aidan Mbilinyi amesema wamejipanga kuhakikisha mashirika hayo yanafuata matakwa ya Serikali ili kuweza kuratibu kazi zao kwa kufuata sheria ,kanuni na taratibu zilizowekwa .

Mkoa wa Ruvuma una mashirika yasiyo ya kiserikali 182 ambayo yamesajiliwa kisheria na mashirika 7 ya nje yanayofanya kazi katika Wilaya na Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma yakijishughulisha na shughuli mbalimbali kama afya, elimu na kilimo. 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.