Hili ni kaburi la pamoja ambalo walizikwa mashujaa 66 wa vita ya Majimaji waliouwa kwa kunyonngwa na wajerumani Februari 27,1906. mashujaa hao 66 pamoja na Jemedari wa wangoni Nduna Songea Mbano alizikwa kiwiliwili katika kaburi la pekee yake ndani ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji. Februari 27 mwaka huu ni kumbukizi ya miaka 117 ya mashujaa wa vita ya Majimaji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.