Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma imeongoza katika ukusanyaji mapato ya ndani kwa kuweza kukusanya kwa asilimia 109.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akizungumza kwenye kikao cha Baraza maalum la madiwani wa Halmashauri hiyo kilichofanyika kwenye ukumbi wa Odo Mwisho mjini Mbinga cha kujadili taarifa ya CAG inayoishia Juni 30,2021,ameipongeza Halmashauri hiyo kuibuka kidedea na kwamba Halmashauri ya Mbinga Mji pia kwa miaka mitano mfululizo imeweza kupata hati safi kufuatia taarifa ya ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.