Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameipongeza Halmashauri ya Mji Mbinga kwa kuweza kukusanya mapato ya ndani kwa asilimia 109 katika kipindi cha mwaka wa fedha unaoishia Juni 30 mwaka 2021 ambapo Halmashauri hiyo imeweza kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 1.9.Pia Halmashauri hiyo imeweza kupata hati safi kwa miaka mitano mfululizo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.