• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MBUNGE Ruvuma atoa msaada wa mifuko 70 ya saruji sekondari ya Frankweston

Imewekwa kuanzia tarehe: March 6th, 2023

MBUNGE wa Viti Maalum mkoani Ruvuma Mheshimiwa  Mariam Nyoka,amekabidhi msaada wake wa mifuko 70 ya saruji kwa shule ya Sekondari Frankweston iliyopo kata ya Mlingoti katika Halmashauri ya wilaya Tunduru.

Mifuko hiyo ya saruji itatumika kujenga matundu ya vyoo vipya vya wavulana katika shule hiyo,kufuati vyoo vya hapo awali kubomoka kutokana na mvua  kubwa zilizonyesha miezi miwili iliyopita.

Akizungumza wakati  wa kukabidhi msaada huo kwa Mkuu wa shule hiyo  Athanas Bosso,Mbunge Mariam alisema msaada huo ni katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita kuboresha ya sekta ya elimu hapa nchini.

Alisema,akiwa katika ziara  yake wilayani Tunduru miezi michache iliyopita,alikukutana na changamoto ya matundu ya vyoo kwenye shule hiyo ambayo amewahi kusoma kuanzia kidato cha 1 hadi 4 na kuguswa na hali hiyo,hivyo ameamua kutoa saruji ili itumike kujenga vyoo vipya.

Alisema,anafahamu kazi kubwa inayofanywa na Rais wetu Samia Hassan katika kuwaleta maendeleo wananchi kuboresha sekta  ya elimu hapa nchini,lakini kama Mbunge wa viti maalum ana wajibu kusaidia kile alichonacho.

“nikuombe sana Mkuu was hue hii  kaka yangu Bosso  upokee mifuko 40 kati ya 70 na mchango lori mbili ili ziweze kusaidia kumaliza changamoto ya matundu ya vyoo katika shule yetu,naamini saruji hii itaweza kumaliza upungufu wa matundu ya choo kwa wavulana alisema Nyoka.

Aidha,amewaomba watu waliosoma katika shule hiyo hasa wale wenye uwezo wa kifedha,kuisaidia shule ya Frankweston  kwa hali na mali ili wanafunzi waliopo waweze kujifunza kutenda wema na kukumbuka kurudisha fadhila watakapokuwa watu wazima.

Kwa upande wake Mkuu wa shule hiyo Athanas Mbosso,amemshukuru Mbunge huyo kwa uaminifu wake ,kutimiza ahadi na mapenzi makubwa kwa shule hiyo kwa kuwaletea saruji ambayo itasaidia kumaliza upungufu wa matundu ya vyoo.

Alisema,upungufu wa matundu ya vyoo katika shule hiyo ni changamoto kubwa kwani wanafunzi 559 wa kike wanatumia matundu 18,hivyo kuwa na upungufu wa matundu 8.Mbossa alieleza kuwa,kwa upande wa wavulana wako  429 wanaotumia matundu 16 na upungufu ulikuwa matundu 2, lakini baada ya kutitia kwa  kwa baadhi ya matundu na kubomoka kwa ukuta changamoto ya matundu imeongezeka.



Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.