Meli ya abiria ya Mv mbeya II, imeanza safari ya kwanza ya ya kubeba abria leo Oktoba 5 mwaka huu ikitokea bandari Kiwira wilayani Kyela mkoani Mbeya hadi Mbamba bay wilayani Nyasa mkoani RuvumaKwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) MV Mbeya II inapitia bandari za matema,Lupingu,Manda,Ndumbi,Liuli na Mbambabay kisha kurudi tena bandari ya Kiwira . Kwa mujibu wa TPA ratiba ya meli ya MV Mbeya II kufanya safari siku za Jumatatu na Alhamisi kila wiki.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.