Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetenga zaidi ya shilingi bilioni nne kutekeleza mradi wa ujenzi wa sekondari ya mfano ya wasichana mkoani Ruvuma yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita.
Sekondari hiyo iliyojengwa wilayani Namtumbo kupitia Program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) tayari imeanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha kwanza na cha tano
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.