Mkoa wa Ruvuma kupitia RUWASA unatekeleza miradi ya maji 36 Katika Wilaya zote inayogharimu zaidi ya shilingi bilioni 66.
Rais wa Awamu ya Sita Dkt Samia Suluhu Hassan amedhamiria kumtua mama ndoo kichwani ambapo ameagiza mama asitembee zaidi ya mita 400 kufuata maji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.