MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas leo Septemba 22,2023 kuanzia saa tatu asubuhi,anatarajia kuzindua mkakati wa utalii Mkoa wa Ruvuma kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.
Wadau mbalimbali wa maendeleo na utalii kutoka Halmashauri na Wilaya zote mkoani Ruvuma wamealikwa.
RUVUMA IVUME KWA UTALII
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.