• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma azindua maonesho ya Wajasiliamali

Imewekwa kuanzia tarehe: September 29th, 2021

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amezindua maonesho ya wajasiriamali wanawake mkoani Ruvuma yaliyofanyika katika viwanja vya bustani ya Manispaa ya Songea.Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa,Katibu Tawala Msaidizi Rasilimali Watu wa  Mkoa wa Ruvuma  Bakari Ally Mketo amezindua maonesho ya bidhaa za Kitanzania na kuwaasa akina mama kuwaheshimu waumezao.

Hayo amezungumza katika kongamano hilo na kutoa rai kwa wanawake wajasiliamali kulinda familia zao maana wanawake wengine mara baada ya kujipatia kipato kukosa uaminifu katika familia zao.

Akizungumza katika Kongamano hilo linaloendelea kufanyika katika Viwanja vya Bustani ya Manispaa ya Songea amesema Serikali inatambua mchango wa wanawake katika kukuza na kuimarisha Uchumi wa Nchi.

Mketo amesema maonyesho haya ni sehemu ya kutambua mchango wa wanawake katika biashara na ujenzi wa uchumi wa Taifa na kuwapa nafasi wanawake wafanyabiashara,kuwajengea uwezo kupitia mafunzo ya usindikaji,kubadilishana taarifa za kibiashara,uwekezaji,kujifunza,kurasimisha biashara pamoja na kuunganishwa na Taasisi mbalimbaliza.

“Wakati natembelea mabanda ya maonyesho nimejionea ubora wa bidhaa na huduma nyingi ambazo wanawake kutoka Ruvuma na Mikoa mingine mnazalisha

Hata hivyo Mketo amesema amewasihi wanawake kuendelea kuzalisha bidhaa zenye viwango ili kukidhi mahitaji ya soko pamoja na ushindani unapoongezeza na thamani ya biashara inaongezeka kuliko kuuza mazao kama yalivyo.

Mketo ametoa wito kwa wanawake kuhakikisha wanaitumia TWCC kwani ni chama kikubwa ,ni mtandao wa wanawake ambao uponchi nzima ambao ni kiunganishi kati ya Serikali na Wanawake wafanyabiashara Tanzania.

Mwenyekiti wa Chama cha wanawake Mkoa wa Ruvuma Xsaveria Mlimira akisoma Lisala kwa mgeni rasmi ameeleza changamoto wanayopata ni pamoja na mikopo inayotolewa kwenye vikundi  haikidhi mahitaji na kutofikia malengo ya Tanzania ya Viwanda.

Mlimira ameeleza mafanikio waliyopata wanawake ikiwemo kufungua ofisi ya Mkoa ambayo ipo katika eneo la Kanisa la Anglikani pamoja na kufanya kongamano kubwa la wajasiliamali  la wanawake Mkoa wa Ruvuama  lilifanyika Agasti 25,2020, na kupata elimu kutoka Sido,TBS, na Taasisi za kifedha.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka ofisi ya Habari ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Septemba 29,2021

 

 

 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBINGA-MBAMBABAY : barabara inayojenga utalii kwenye milima ya Kusini

    June 01, 2025
  • PICHA ya Rais Samia yapamba mti wa kihistoria Namtumbo

    June 01, 2025
  • TAIFA lamlilia Songambele Shujaa wa Uhuru aliyeishi karne moja

    June 01, 2025
  • SHAMBA la AVIV Tanzania ni mfano wa kuigwa nchini

    June 01, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.