Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Joseph Rwiza amewataka waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi sambamba na kusimamia ukusanyaji wa mapato katika maeneo yao.
Rwiza ametoa agizo hilo katika kikao chake na timu ya uendeshaji wa huduma za afya pamoja na waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.