Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Joseph Rwiza akizungumza na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wakati alipotembelea Ofisi za Halmashauri zilizopo Kiamili baada ya kuripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi.
Mkurugenzi Rwiza amehamishiwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga akitokea Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.