MKUU wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele amefanya mazungumza ya muda mfupi na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia sekta ya kilimo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.