Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewaagiza wadau wa uhifadhi kusini kuhifadhi na kulinda ushoroba na ikolojia ya nchi yetu ili vizazi vijavyo vipate tunu bora zaidi na kuendelea kufaidika.Ametoa agizo hilo wakati anafungua mkutano wa Jukwaa la Hifadhi za Jamii za Wanyamapori (WMA) Kanda ya Kusini uliofanyika mjini Songea na kushirikisha mikoa ya Ruvuma,Pwani na Lindi.
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=szwZ8m5oYzw
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.