Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya madawati 40 katika shule ya msingi nKiburang'oma Kata ya Lizabon Manispaa ya Songea M
Kulia Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya madawati 40 katika shule ya msingi Kiburang'oma Manispaa ya Songea ambapo Benki ya NMB imetoa madawati 220 katika wilaya ya Songea kwa ajili ya kupunguza upungufu wa madawati wilayani humo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.