Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kweny hafla ya mapokezi ya vifaa tiba vya majimbo ya uchaguzi.
Hafla ya mapokezi ya vifaa tiba hivyo inatarajiwa kufanyika kuanzia saa nne asubuhi Machi 6,2024 kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma atapokea vifaa tiba hivyo kutoka Bohari Kuu ya Dawa (MSD) ambavyo vitasambazwa katika vituo 18 vya kutolea huduma za afya katika majimbo tisa ya uchaguzi mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.