MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amefungua Tamasha la kumbukizi ya miaka 119 ya mashujaa wa vita ya Majimaji ndani ya viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Mahenge mjini Songea.Katika Tamasha hilo wanakumbukwa mashujaa 67 walionyongwa kikatili na wajerumani Februari 27,1906 ambao walinyongwa na kuzikwa kwenye makuburi mawili yaliyopo ndani ya Makumbusho hayo wakitetea maslahi ya kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wakoloni.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.