MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekagua mradi wa maji katika kijiji cha Peramiho Halmashauri ya Wilaya ya Songea.Mradi huo ambao ulianza mwaka 2002 hadi kukamilika unatarajia kutumia zaidi ya shilingi milioni 700.Akizungumza baada ya kukagua mradi huo ametoa kwa wananchi kulinda chanzo cha maji cha mradi huo ili kiwe endelevu.SOMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=GxyD5T8OI7Q
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.