Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa kukagua mradi wa ujenzi sekondari ya Kata ya Mputa iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ambapo serikali imetoa shilingi milioni 560 kutekeleza mradi huo.Mkuu wa Mkoa ameagiza kasoro zote zilizojitokeza kwenye ukaguzi wa mradi huo zifanyiwe marekebisho na kwamba shule hiyo ianze kuchukua wanafunzi Januari 2024.Mkuu wa Mkoa pia amesikiliza kero mbalimbali za wananchi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.