MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas Aprili 28,2023 amefanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya Siasa wa Mkoa wa Ruvuma kwenye ukumbi wa Mipango uliopo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Songea.
Kanali Laban ametoa fursa ya kusikiliza changamoto mbalimbali zinazowakabili viongozi hao wanapotekeleza majukumu yao ya kisiasa ambapo ameahidi kutoa ushirikiano huku alisisitiza wahakikishe wanatekeleza majukumu yao kwa kufuata taratibu na sheria za nchi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.