Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas, akizungumza na mzee Musa Homera, mkazi wa Bombambili jana nyumbani kwake kuhusu hali ya Sensa ya watu na makazi katika Kata ya Bombambili ambayo inadaiwa kuongoza kuwa na watu wengi katika Manispaa ya Songea.Matokeo ya Sensa hiyo yatatoa majibu sahihi kuhusiana na suala hilo na kujibu kero ya wananchi ambao wamekuwa wanaiomba serikali kuigawa kata hiyo kutokana na kudaiwa kuwa na watu wengi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.