Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amefanya ziara ya kikazi Wilaya ya Tunduru ambapo amezungumza na wananchi wa kata ya Ligunga na Napanya kushughulikia changamoto za ufugaji holela na tembo zinazowakabili wananchi hao.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=3cHVspKozJk
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.