MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameendesha harambee ya kuchangia msikiti wa Kitongoji cha Mkongo Kata ya Mputa Halmashauri ya Namtumbo.Katika harambee hiyo ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya msikiti zaidi ya shilingi laki nane taslimu zimepatikana na ahadi ya mifuko kumi ya saruji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.